News
Baada ya mazungumzo ya timu za Simba na Yanga, serikali imesema kuwa imepanga kuzungumza na wadhamini wa Ligi Kuu kuhusu mchezo baina ya timu hizo ‘Kariakoo Derby’ na kuwataka Watanzania ...
WATETEZI wa Kombe la Shirikisho (FA), Yanga jioni ya leo wanashuka uwanjani kuikaribisha Stand United katika mchezo wa robo fainali ya michuano hiyo, huku Chama la Wana likipiga hesabu ya ...
Kufuzu kwa Simba nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Al Masry kwa mikwaju ya penalti 4-1, kunamaliza ...
ELLIE Mpanzu amewafunga mdomo wale wote waliokuwa wakimpopoa wakati alipoanza kuitumikia Simba iliyomsajili kupitia dirisha dogo, huku mabao aliyoanza kuyafunga akiwa na kikosi hicho ...
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa siku 10 hadi 14 baada ya kuumia kifundo cha mguu (ankle sprain).
NYOTA wa Tabora United, Offen Chikola amekiri ameanza kupata shaka ya kutimiza ndoto zake za kufunga mabao 10 msimu huu ili ...
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca alitoa taarifa kuhusu mustakabali wa Jadon Sancho baada ya mchezaji huyo kufunga bao la kusawazisha kwa Chelsea dhidi ya Ipswich Town.
MAAFANDE wa JKT Tanzania, wapo katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara wakikusanya pointi 32 kupitia mechi 25, ...
BEKI wa zamani wa Mtibwa Sugar, Yanga na Singida Big Stars, Juma Abdul ameitaja 5-Bora ya washambuliaji aliowashudia ubora ...
KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick anaonekana kubadilisha falsafa ya timu hiyo kutoka kumiliki mpira muda wote hadi kupenda ...
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema ni heshima kubwa kupata nafasi ya kuifundisha timu ya taifa ya Libya, ...
LEJENDI wa Manchester United, Roy Keane amemkosoa vikali kapteni wa timu hiyo, Bruno Fernandes kutokana na mahojiano aliyofanya baada ya timu hiyo kuchapwa mabao 4-1.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results