News
To day we look for the two swahili word which is ingia and imara,it’s original and how to use The Swahili word “ingia” means “enter” or “go in” in English.1. Meaning:”Ingia” is a verb used when ...
Please wait while your request is being verified ...
Serikali imetoa Sh milioni 306 kwa ajili ya kulipa madeni ya waliokuwa watumishi wa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
CCM imesema wakulima wa zao la tumbaku nchini watalipwa fedha zao za mbolea ya ruzuku za msimu uliopita kiasi cha Sh bilioni ...
VIONGOZI wa dini ya Kikristo katika Ibada ya Ijumaa Kuu wamewataka waumini kutafakari maisha yao kwa kina, kusimama katika ...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania imetoa wito kwa vyama vya siasa, serikali na wananchi kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, ...
KLABU ya Yanga imesema inategemea nguvu ya mashabiki kushinda michezo yote iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.
CHAMA cha Tenisi Tanzania (TTA) kimefungua milango kwa wazazi na kuwahimiza kuwaleta watoto wao kwenye mazoezi ya tenisi.
DAR ES SAALAM: KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk John Jingu amewataka wanafunzi wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii kutumia mbinu za kidigitali na teknoloji ...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza kuwa haitenganishi watoto na familia zao, lakini inawalea watoto wanaokumbwa na ...
URUSI: WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametilia shaka nia ya Marekani siku moja kabla ya duru ya pili ya ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results