News

Zaidi ya shule 50 zimekumbwa na visa vya moto kote nchini Kenya tangu mwaka wa 2018 kuanza - huku visa vingi vikihusishwa na wanafunzi wa shule husika. Ziaidi ya wanafunzi wapatao elfu 6,000 ...