Victoria Mwanziva ameongoza wananchi wa Kata ya Nangaru- Lindi Manispaa kwenye zoezi la uchimbaji wa misingi ya majengo ya shule mpya ya Sekondari ya Amali ambayo inapewa jina la Dr. Jakaya Mrisho ...
mkoani Morogoro wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuhusika na wizi wa nondo za ujenzi wa Shule ya Msingi ya Amali katika kijiji cha Kwipipa, kata ya Iyogwe wilayani humo. Mkuu wa Wilaya ...
SINGIDA: MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda na Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dk Fatma Mganga wamefanya ziara kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi wa shule za msingi na sekondari.
WAKATI jana wanafunzi kote nchini wakianza muhula mpya wa masomo, hali ni tofauti kwa Shule ya Sekondari ya G.G Shulua iliyopo Kibamba wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam iliyofungwa ghafla siku ...
wamepewa jukumu la kufanya msako wa nyumba kwa nyumba kuwabaini na kutoa taarifa za watoto wote wenye umri wa kwenda shule ambao hawajapelekwa. Serikali imetoa agizo hilo leo Jumatatu, Januari 13, ...
Dar/Mikoani. Wakati shule za msingi na sekondari nchini zikifunguliwa kwa muitikio mkubwa, baadhi ya wazazi na walezi wameeleza changamoto za kiuchumi zinazoathiri ununuzi wa vifaa vya shule, huku ...