News

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili ...
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Stellenbosch ya ...
KOCHA wa Biashara United, Omary Madenge amesema sare ya bao 1-1, iliyoipata kikosi hicho Aprili 9, dhidi ya Mbeya City kwenye ...
RAUNDI ya 26 ya Ligi ya Championship, inaendelea tena wikiendi hii ambapo baada ya jana kuchezwa mechi tatu, leo zitapigwa ...
April 10, 2025 Lissu, alifikishwa Mahakamani Jijini Dar es Salaam kwa kesi mbili zenye makosa manne, matatu ya uchochezi na moja la uhaini ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Usambazaji Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amefariki dunia usiku wa kuamkia ...
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake UN WOMEN nchini Tanzania chini ya ufadhili kutoka Muungano wa Ulaya wanashirikiana na jeshi la polisi kuendesha mradi huko visiwani ...
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camilius Wambura mnamo Machi 20, 2025, waombaji wanapaswa kuwa raia wa Tanzania kwa kuzaliwa, na wazazi wao wawe pia raia wa ...
Jeshi la Polisi limewataka viongozi wa CHADEMA kuacha mara moja kampeni ya kuhamasisha wafuasi wao kufika Mahakama ya Kisutu ...
Jeshi la polisi limesema bado kuna mwitikio mdogo kwa wananchi ikiwemo wakazi wa Geita kutoa ushahidi wa matukio ya uharifu.
Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ni ugonjwa hatari unaoweza kusababisha vifo na mara nyingi huacha madhara ya kudumu kiafya. Ugonjwa huu bado ni changamoto kubwa ya kiafya duniani kote. Viumbe ...