News

Mwitikio ni mkubwa sana. Wapo waliothibitisha ushiriki na wengine wanaendelea kujiandikisha. Huu utakuwa mkutano mkubwa wa kwanza wa uwekezaji Zanzibar,” ameeleza. Aidha, amesema ZIPA ipo katika ...
Katika miaka ya hivi karibuni, usafiri wa majini nchini Uganda umekumbwa na majanga. Mwaka 2023, takriban watu 20 walikufa, baada ya boti ya abiria iliyojaa kupita kiasi kupinduka katika Ziwa Victoria ...
"Asante kwa kunirudisha kwenye uwanja." Ni miongoni mwa maneno ya mwisho ya Papa Francis aliyoyatoa kwa ambao katika wakati wa ugonjwa, lakini hata muda mrefu uliopita, walimwangalia bila kuchoka.