ZIKIWA zimesalia siku tano pekee shule kufunguliwa kwa muhula wa kwanza wa mwaka 2025, wazazi na wanafunzi zaidi ya 600 wako njiapanda, baada ya moja ya shule kudaiwa kuwafukuza na kuwataka wahamishe ...
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema atawatuma kwa siri watu aliowaita ‘mashushu’ kuwachunguza wakuu wa shule za sekondari na walimu wakuu wa msingi, ambao wataukanyaga mwongozo wa ...
The Department of Transport confirmed there were temporary delays with the processing of some traffic infringements as a result of the department taking over the system from WA Police.
Waziri Profesa Mkenda alisema kwa upande wa shule ya msingi, waliokuwa darasa la tatu mwaka jana (2024), sasa wako darasa la nne (2025) na mwaka 2026 wataingia darasa la tano na mwaka 2027 wataingia ...
WAKATI jana wanafunzi kote nchini wakianza muhula mpya wa masomo, hali ni tofauti kwa Shule ya Sekondari ya G.G Shulua iliyopo Kibamba wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam iliyofungwa ghafla siku ...
Same. Wakazi wa Kitongoji cha Igoma, Kata ya Maore, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wamelazimika kujenga shule yao ili kuwalinda watoto wao wanaotembea umbali mrefu kufuata shule dhidi ya hatari ...
Na mwanahabari wetu mjini Nairobi, Gaëlle Laleix Shule zilizofungwa zilikuwa na mwezi mmoja kurejea kwenye kiwango cha usalama. Lakini katika mkesha wa kuanza kwa mwaka wa masomo, hakuna mtu ...
Mbeya. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ivumwe iliyopo jijini Mbeya, umemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan ukimwomba asaidie uboreshaji wa miundombinu ya shule hiyo ili kuendana na mabadiliko ya ...