WAKAZI wa kijiji cha Mayamaya, wilayani Bahi, mkoani Dodoma, wamepinga kumegwa eneo la shule lenye ukubwa wa ekari 27 na kupewa mtu anayetajwa kuwa mwekezaji kama fidia ya kuwajengea shule ya ...
ZIKIWA zimesalia siku tano pekee shule kufunguliwa kwa muhula wa kwanza wa mwaka 2025, wazazi na wanafunzi zaidi ya 600 wako njiapanda, baada ya moja ya shule kudaiwa kuwafukuza na kuwataka wahamishe ...
Waziri Profesa Mkenda alisema kwa upande wa shule ya msingi, waliokuwa darasa la tatu mwaka jana (2024), sasa wako darasa la nne (2025) na mwaka 2026 wataingia darasa la tano na mwaka 2027 wataingia ...
WAKATI jana wanafunzi kote nchini wakianza muhula mpya wa masomo, hali ni tofauti kwa Shule ya Sekondari ya G.G Shulua iliyopo Kibamba wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam iliyofungwa ghafla siku ...
Uamuzi wa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya St Annes’s Girls nchini Kenya kuwafungia wanafunzi walioripoti shuleni bila kulipa ada umechukua sura mpya baada ya wananchi kuhoji utaratibu huo huku ...
Same. Wakazi wa Kitongoji cha Igoma, Kata ya Maore, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wamelazimika kujenga shule yao ili kuwalinda watoto wao wanaotembea umbali mrefu kufuata shule dhidi ya hatari ...