Wanafunzi wa shule ya sekondari ya juu nchini Japani kutoka miji iliyoshambuliwa kwa mabomu ya atomiki ya Nagasaki na Hiroshima watatumwa kama Wajumbe wa Amani kwenye mkutano wa mkataba unaopiga ...
Kiwango cha kushuka ni kikubwa zaidi kwa wanafunzi wa shule ya upili, ambao walikumbwa na "hali nzito" bada ya kufungwa kwa shule kutokana na hali hii inayohusiana na Uviko-19, Carr ameongeza ...
Shirika lisilo la kujipatia faida linalosaidia familia katika malezi ya watoto linaendesha tovuti inayotoa taarifa mbalimbali zinazohusiana na shule, ikiwa ni pamoja na mfumo wa elimu wa Japani na ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
SHULE ya Sekondari ya Academic International imetoa msaada wa Sh. milioni 14 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya watoto wanaougua saratani nchini. Mkuu wa Shule hiyo, Shyama Santhosh, aliyasema hayo ...
MKUU wa Shule ya Sekondari Chambo, iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi ,44, anefariki dunia kwa kunywa kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu. Kamanda ...
WANAFUNZI 30 wa shule ya St Mary’s Mbezi waliopata daraja la kwanza kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka huu wamepewa zawadi mbalimbali zikiwemo fedha taslimu. Hafla ya kuwapa zawadi wanafunzi hao ...
mpango wa ushauri na usaidizi kwa wasichana wa shule za sekondari nchini Ghana. Ilianzishwa na Aims-Ghana mnamo 2020 ili "kuhakikisha kuwa tunatoa nafasi kwa wasichana wadogo ambao watakuwa ...
Picha na Beldina Nyakeke Bunda. Asilimia 32 ya wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidtao cha kwanza katika shule mbalimbali za Sekondari wilayani Bunda katika Mkoa wa Mara bado hawajaripoti shuleni ...
Shinyanga. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, amewaonya wamiliki wa shule binafsi kuacha tabia ya kuwarudisha madarasa wanafunzi wanaoshindwa kufikia alama wanazozitaka. Amesema hawana ...
kwa wakurugenzi wa halmashauri kuhusu upatikanaji wa huduma za maji katika shule zote nchini. Naibu Waziri, Zainabu Katimba alitoa maelekezo hayo akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Mwantum Zodo ...
Coly Dione ni Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Serere. “Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano, TEHAMA, tunahitaji sana kuwapatia wanafunzi Tableti ili wajifunzie. Hivyo ilibidi ...