Shirika la habari la Reuters liliripoti kuwa Rais Gitanas Nauseda wa Lithuania, jirani na Urusi, alisema mwavuli wa nyuklia wa Ufaransa unaweza ukafanya kazi kama uzuiaji mkubwa kwa Urusi.
Kiongozi huyo wa Ufaransa alipendekeza mwavuli wa nyuklia wakati wa hotuba iliyorushwa kwenye televisheni juzi Jumatano. Pia alitaja wazo la kupeleka vikosi vya walinda amani vya Ulaya nchini ...
na wafanyabiashara wengi wanahofia kuwa serikali itawaadhibu wafanyabiashara ambao wataanza tena shughuli zao chini ya mwavuli wa M23. Ameongeza, hata hivyo, kwamba hali ya utulivu imeanza kurejea ...
There will be mostly sunny skies. The high will reach 32° on this humid day. Pressure is the weight of the air in the atmosphere. It is normalized to the standard atmospheric pressure of 1,013.25 ...
Rais wa Ufaransa pia alifichua kwamba alifuatwa na viongozi kadhaa huko Brussels kuhusu pendekezo lake la kupanua mwavuli wa nyuklia wa Ufaransa hadi Ulaya, anasema mwandishi wetu maalum huko ...
Msanifu majengo wa Foster na washirika, ambao watasanifu mjengo huo, wanasema uwanja huo utakuwa na mfanano wa mwavuli na jukwaa la umma ambalo ‘’ni maradufu ya ukubwa wa Trafalgar Square’’.
Mpango huu mpya unapendekeza kwamba Gaza itaendeshwa, kwa muda, na "kamati ya usimamizi wa Gaza chini ya mwavuli wa serikali ya Palestina.” Swala la makundi yenye silaha kama Hamas, mpango huo ...
Kimsingi, ni utaratibu wa Tanzania kupeleka askari wake katika nchi ambazo amani inatetereka na wanakwenda chini ya mwavuli wa ama Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) au ...
Vyama vya ushirika viwe kama mwavuli ambao unahakikisha kunakuwa na usalama kwa vyama vya msingi na wanachama vinavyowahudumia,” amesema. Meneja wa KNCU, Dk Honest Kessy amesema katika kuhakikisha ...
Mwisho labda ndio jambo linalofaa zaidi hapa, kwa kuzingatia utekelezaji wa Disney +, huduma ya Disney ambayo ililenga kuzingatia yote (au karibu yote) ya yaliyomo chini ya mwavuli wake, ambayo ...