MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, amewatangazia kiama wananchi wanaohujumu miundombinu ya maji kwa kuiba dira zake na kwenda kuuza kama chuma chakavu. Amesema vitendo hivyo vinasababishia hasara ...
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita amefanya ziara ya ukaguzi katika mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria unaojengwa kutokea Manispaa ya Kahama mpaka Halmashauri ya Ushetu ukiwa na urefu wa ...