MKUU wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita amefanya ziara ya ukaguzi katika mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria unaojengwa kutokea Manispaa ya Kahama mpaka Halmashauri ya Ushetu ukiwa na urefu wa ...
MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) mkoani Shinyanga, imeanzisha chanzo mbadala cha maji ya mvua, yanayovunwa katika matangi ya mgodi wa Barrick Buzwagi, yatakayotumika baada ya ...