Msemaji wa Kremlin amesema kwamba Urusi na Marekani kwa sasa wanachambua matokeo ya mazungumzo ya Saudi Arabia. Marekani yafichua kilichozungumzwa katika mkutano wake na Urusi Mpalestina ...
Akiwa na aibu na akizungumza kwa sauti ya chini, amevalia koti la kofia lenye rangi ya njano na nyeusi kujikinga na baridi. Anaeleza kuwa alikimbia nchi yake ili kuepuka kulazimishwa kujiunga na ...
Uwekezaji duniani tangu mwaka 2000 katika mbinu za kusongesha uhai wa mtoto kumewezesha kupungua kwa zaidi ya asilimia 50 kwa vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya miaka mitano, ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS leo limeonya kwamba kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani sio tu janga kwa vita dhidi ya gonjwa hilo bali ni chachu ya vifo na ongezeko la ...
Hivyo, amewakumbusha wanaotaka ubunge na wabunge waliopo madarakani kuzingatia maadili, huku akitoa rai kwa wajumbe wa CCM, ambao watapiga kura kuchagua mgombea mmoja kati ya watatu ndani ya chama, ...
Dar es Salaam. Jaribio la kimatibabu la kibunifu limeonyesha baadhi ya wanawake wanaweza kudhibiti maambukizi Virusi vya Ukimwi (VVU) bila tiba ya dawa za kufubaza makali ya virusi (ARVs) kwa muda ...
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la John James (35), mfanyabiashara wa mkaa na mkazi wa Chanika, Dar es Salaam, anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) katika ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kuna haja ya kurekebisha Sera katika sheria ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results