Mume wangu ana changamoto ya ulaji usiokuwa wa kistaarabu. Akitafuna lazima vyakula vya mdomoni vionekane, anaachama mdomo kila anapotafuna kiasi cha kutoa sauti. Pia akinywa maji, chai lazima avute ...