News

Na kwa umuhimu huo, hata mtoto anapokuwa hapati maziwa ya kutosha toka kwa mama, inashauriwa apewe maziwa ya ng’ombe. Uzalishaji wa bidhaa ya maziwa kwa mujibu wa takwimu za sasa, umeongezeka kutoka ...
Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha ...
Tangu kutiwa saini mwezi Aprili mwaka jana kwa tamko la kanuni kati ya DRC na Rwanda-chini ya mwamvuli wa Marekani-Washington ina matumaini ya kuona makubaliano ya amani ya kweli mwishoni mwa ...
Umoja wa Mataifa na Ulaya, wamelaani hatua ya Marekani kutangaza vikwazo dhidi ya Majaji wanne wa Mahakama ya Kimataifa ya ICC, yenye makao yake jijini Hague nchini Uholanzi.
“Maziwa ya soya ni kinywaji kizuri kwa afya na pia hutumika kama kiburudisho na hufanana na maziwa ya wanyama hasa ya ng’ombe katika virutubisho na pia mwonekano wa rangi,” amesema Lugano. Lugano ...
HUKU wasanii wa muziki wa bongofleva, Diamond Platnumz na Zuchu wakiendelea kugonga vichwa vya habari kwamba wamefunga ndoa na wengine wakihisi ni katika zile kiki zao za kimuziki, gwiji wa taarab ...
Ikiwa saa chache zimepita tangu msanii Diamond Platnumz kuchapisha video na picha zikimuonesha akifunga ndoa na Zuchu. Hatimaye Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Kawambwa aliyeonekana akifungisha ...
Waziri wa mifugo na uvuvi Dk Ashatu Kijaji akifunga maadhimisho ya wiki ya maziwa ambayo kitaifa imefanyika mkoani Morogoro. Picha Hamida Shariff. Morogoro. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji ...
Kwa upande wake Mwakilishi wa Heifer International, Nyamate Musobi, alisema shirika hilo limekuwa mstari wa mbele katika kuleta mageuzi chanya kwenye sekta ya maziwa kupitia miradi jumuishi na ya ...
Aidha wananchi wameshauriwa kuhakikisha wanakunywa maziwa kwani siyo anasa wala kiburudisho bali yana vitamini zote ndani yake. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye ni Mkuu wa ...